JUVENTUS WAMNYATIA HECTOR BELLERIN

KLABU ya Juventus ya nchini Italia inajaribu kutaka kufanya usajili wa kushitukiza baada ya kuripotiwa kumwinda beki wa timu ya Arsenal, Hector Bellerin mwenye miaka 22.

Beki huyo pia anatakiwa na klabu ya Barcelona ambayo imeanza kumwinda tangu dirisha kubwa lililopita.


Lakini hata hivyo haionekani kama hakuna urahisi wa kocha Arsene Wenger kuruhusu beki huyo kuondoka. 

No comments