KEVIN DE BRUYNE ANUKIA REAL MADRID

KLABU ya Real Madrid imeanza kampeni za kuvizia saini ya staa wa zamani wa Manchester City, Kevin de Bruyne mwenye miaka 26.

Mpango huo umeibuka ghafla baada ya kuona jitihada za kumnasa kiungo mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Eden hazard kuelekea kukwama.


Mpango wa Madrid ni kuhakikisha inanasa staa wa kuziba nafasi ya Christiano Ronaldo aliyegoma kuongeza muda wake.

No comments