KINDA LA HAMBURG LAWINDWA CHELSEA

KINDA wa Hamburg, Jann-Fiete Arp’s mwenye miaka 17 amekuwa moto kiasi cha kuanza kuhusishwa na usajili wa kutua katika kikosi cha Chelsea.

Iliripotiwa kuwa staa huyo anawindwa kwa udi na uvumba na mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich.


Lakini pamoja na taarifa hizo kuenea Ulaya, klabu hiyo imekanusha kupokea ofa yoyote kutoka jiji la London.

No comments