KOCHA WA STOKE CITY AMNG'ANG'ANIA KIUNGO WAKE... asema hatauzwa kwa dau lolote

KOCHA wa timu ya Stoke, Mark Hughes amesema kwamba ofa yoyote itakayoletwa mezani kuhitaji saini ya kiungo wa Switzerland Xherdan Shaqiri itapigwa chini.

Staa huyo mwenye miaka 26 amekuwa akiwindwa na klabu kubwa nchini England ambazo zinasubiri dirisha dogo la mwezi Januari lifunguliwe.

No comments