Habari

MANCHESTER UNITED YAFUNGIA KAZI PAULO DYBALA WA JUVENTUS …Henrikh Mkhitaryan kwisha habari yake

on

Inaaminika kuwa Manchester United imeweka mezani pauni milioni 70 ili kunasa saini ya mshambuliaji wa Juventus Paulo Dybala.
Pamoja na kitita hicho, United pia itamtoa kiungo wake  Henrikh Mkhitaryan kama kishawishi cha kumnasa Dybala.
Gazeti la The Sun la Uingereza limeandika kuwa Juventus imekataa ofa hiyo na kwamba inataka pauni milioni 86 kwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *