MOURINHO AMFUNGULIA MLANGO HENRIKH MKHITARYAN

KOCHA wa timu ya Manchester United, Jose Mourinho amemfungulia mlango wa kutokea kiungo wake, Henrikh Mkhitaryan mwenye miaka 28 ambaye amekuwa hana namba ya uhakika katika kikosi cha kwanza.

Mourinho yuko tayari kumruhusu kiungo huyo mwishoni mwa msimu huu wakati wa majira ya kiangazi.


Manchester United wameelekeza nguvu zao katika kuwania saini ya kiungo mchezeshaji wa timu ya Arsenal, Mesut Ozil.

No comments