MOURINHO KUANGUSHA "VURUGU" NZITO YA USAJILI DIRISHA LA JANUARI

PENGO la pointi aliloachwa Jose Mourinho na mpinzani wake mkubwa Pep Guardiola katika Ligi ya England linaweza kuleta vurugu wakati wa dirisha dogo la usajili mwezi Januari.

Kocha wa Manchester United anahusishwa kutaka kusajili wachezaji watatu kwa mkupuo ili kuhakikisha anaikamata Manchester City.


Wachezaji anaohusishwa nao ni pamoja na Antoine Griezmann, Danny Rose na Mesut Ozil.   

No comments