NEWCASTLE YAGONGA HODI MANCHESTER UNITED KUWANIA SAINI YA BEKI LUKE SHAW

KLABU ya Newcastle imeripotiwa kutaka kuivamia kambi ya Manchester United kumuwania beki wake wa kushoto, Luke Shaw mwenye miaka 22.

Shaw anakadiriwa kuwa na thamani ya pauni mil 20 sokoni, fedha ambayo haiwezi kuwasumbua Newcastle.


Beki huyo amekuwa hana maelewano mazuri na kocha wa United, Jose Mourinho ambaye amekuwa akimuweka nje ya kikosi mara kwa mara.

No comments