OSCAR TABAREZ AMKANYAGIA SUAREZ... asema kiwango chake kimepwaya

KOCHA Oscar Tabarez amesema kuwa kiwango cha mshambuliaji wa timu ya Barcelona, Luis Suarez hakina muendelezo mzuri tofauti na misimu yake miwili nyuma.

Tabarez amedai kwamba Suarez anaweza kucheza vizuri katika mechi moja na kubolonga nyingine hivyo sio mchezaji wa kumuamini sana.


Staa huyo amepoa tangu alipoondoka kwa mshambuliaji wa Brazil ambaye alihamia PSG kwa daukubwa lililowaka rekodi duniani.

No comments