Habari

SAINI YA VAN DIJK WA SOUTHAMPTON YAENDELEA KUITESA LIVERPOOL

on

KLABU ya Liverpool inaendelea
kuota kuinasa saini ya staa wa Southampton Van Dijk raia wa Uholanzi ambaye
walimkosa katika dirisha lililopita.
Staa huyo pia alikuwa alikuwa
akiwindwa na klabu ya Chelsea ambayo pia imepanga kurudi mezani mwezi Januari.

Wakati huohuo klabu za
Manchester United na Juventus zinaendelea kupigana vikumbo kuwania saini ya
kiungo wa timu ya Monaco, Fabinho mwenye miaka 24.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *