SUAREZ AMTAKA COUTINHO NOW CAMP

MSHAMBULIAJI wa timu ya Barcelona, Luis Suarez amesema kuwa itakuwa vyema kama kiungo wa timu ya Liverpool, Philippe Countinho atatua Now Camp.

Countinho mwenye miaka 25 alitarajiwa kujiunga na Barcelona katika dirisha lililopita lakini mambo yaligoma baada ya Liverpool kumchomolea.


Wakati huohuo, kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amekanusha kuhitaji huduma ya kiungo wa timu ya RB Leipzig, Naby Keita.

No comments