UNAI EMERY: NAHITAJI MZIGO WA KUTOSHA KUIJENGA PSG YA KILO

KOCHA wa timu ya Paris St-German,Unai Emery amesema kuwa anahitaji fungu lingine la kutosha katika dirisha dogo la usajili ili aweze kuboresha kikosi chake.

Kocha huyo amesema kuwa anahitaji fedha ili akamilishe usajili wa kiungo mkabaji ambaye atasaidia ulinzi.


Kiungo mkabaji wa klabu hiyo, Thiago Motta amekosekana uwanjani kwa wiki sita akiuguza jeraha lake, jambo lililomfanya kocha huyo kuingia sokoni.

No comments