WAKALA WA MAURO ICARDI ASEMA: "WANAOMTAKA STAA WANGU WAJIPANGE"

WAKALA wa Mauro Icardi amesema kuwa klabu yoyote inayohitaji huduma ya staa wake italazimika kuvunja benki kwa sababu hatouzwa kwa fedha kiduchu.

Staa huyo wa Inter Milan anawindwa na timu za Arsenal na Chelsea ambazo zinawania ubingwa wa England.


Icardi mwenye miaka 24, anaweza kuzigonganisha klabu hizo katika dirisha dogo la usajili la Januari.

No comments