WILFRIED ZAHA ANUKIA ENGLAND

MSHAMBULIAJI wa Crystal Palace, Wilfried Zaha mwenye miaka 25 anaelekea kuikacha klabu hiyo baada ya kuwepo ofa kutoka klabu kubwa nchini England.

 Zaha anahitajika na timu za Manchester City, Arsenal na Chelsea ambazo zimepanga kumtwaa katika  dirisha dogo la Januari.


Mshambuliaji huyo anakadiriwa kuwa na thamani ya pauni mil 40, fedha ambayo haiwezi kuzishinda klabu kubwa za England.

No comments