ARSENAL YAKARIBIA KUMNASA BEKI WA ZAMANI WA MAN UNITED JONNY EVANS

Arsenal inakaribia kumnasa beki wa zamani wa Manchester United,  Jonny Evans anayeitumikia West Brom.
Inadaiwa West Brom na Arsenal wako kwenye hatua za mwisho za mazungumzo juu ya dili la beki huyo mwenye umri wa miaka 30 kwa pauni milioni 25.
No comments