Habari

ARSENE WENGER: TULIZIDIWA KILA IDARA, TULISTAHILI KIPIGO

on

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amewashutumu wachezaji wake kwa kucheza soka bovu na kupelekea kuvuliwa taji la FA na timu ya daraja la kwanza Nottingham Forest.
Arsenal iliyochezesha wachezaji wengi wa akiba, ilikubali kichapo cha bao 4-2 na kocha huyo anakiri kuwa Nottingham Forest walikuwa wazuri katika kila idara.
“Hatukucheza vizuri, tulikuwa wabovu katika kila idara, sio kwenye ulinzi, katikati wala katika safu ya ushambuliaji na tukaadhibiwa kwa hilo,” alisema Wenger.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *