AUDIO: KAMA KWENYE MAKTABA YAKO BADO HAUNA “THAMANI YA MAMA” YA ISHA MASHAUZI BASI IPAKUE HAPA


Hii ni moja ya nyimbo kali za taarab zilizotoka ukingoni mwa mwaka 2017. Wimbo “Thamani ya Mama” kutoka kwa Isha Mashauzi akiwa na kundi lake la Mashauzi Classic.

No comments