Habari

BARCELONA HAIKAMATIKI LA LIGA … MESSI AFUNGA BAO LAKE LA 365, SUAREZ MOTO CHINI

on

Barcelona imeendelea kutimua vumbi kwenye La Liga baada ya kuibamiza Levante 3-0 na kujikita kileleni kwa tofauti ya pointi tisa.
Lionel Messi akacheza mchezo wake wa 400 kwenye La Liga na kufanikiwa kufunga bao lake la 365
Luis Suarez naye amezidi kuwa moto wa kuotea mbali baada ya kufunga goli lake la sita katika mechi saba za mwisho za La Liga huku kiungo Paulinho naye akifunga bao moja.
Suarez anakuwa mchezaji wa nne mwenye magoli mengi katika historia ya Barcelona kwa kufunga jumla ya mabao 131 na kumzidi goli moja staa wa zamani wa klabu hiyo Rivaldo.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *