HASSAN BITCHUKA AENDELEA KUSISITIZA: “MIMI SIJUI MUZIKI BWANA!”


PAMOJA na watu wengi kuamini kuwa mkongwe wa muziki wa dansi, Hassan Bitchuka ni kati ya waimbaji wenye uwezo wa juu wa miondoko hiyo hapa nchini, lakini mwenyewe ameibuka na kudai kuwa yeye si lolote si chochote na kwamba bado anaendelea kujifunza zaidi.

No comments