Habari

IBRAHIOVIC HUENDA AKAONDOKA MANCHESTER UNITED MWEZI MACHI …achoka kusugulishwa benchi na Lukaku

on

Manchester United inaripotiwa kusaka mrithi wa Zlatan Ibrahimovic — kwasababu inaamini mshambuliaji huyo huenda akaondoka kabla ya msimu huu haujafika ukingoni.
Mkataba wa mshambuliaji huyo raia wa Sweden unaisha mwishoni mwa msimu lakini amejikuta akiangukia kuwa chaguo la pili nyuma ya Romelu Lukaku aliyesajiliwa kwa pauni milioni 75.
Yahoo Sports inaripoti kuwa Ibrahimovic anaweza akahamia Marekani au China mwezi Machi ambao ndiyo mwanzo wa msimu wa ligi hizo mbili – MLS na Chinese Super League.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *