JAMHURI WAKIRI KPIGO CHA SIMBA SC NI UZEMBE WAO

MCHEZAJI Mosses Nassor wa timu ya Jamhuri, Pemba ameibuka na kusema kuwa kukosa umakini na kuacha walichofundishwa na kocha ni kati ya sababu zilizopelekea wachukue kichapo cha bao 3-1 dhidi ya Simba SC kwenye mchezo wa jana wa kuwania Kombe la Mapinduzi.


Nassor amekiri kuwa timu yake ilijikuta ikipoteza mwelekeo na kujikuta ikiiga namna ya uchezaji wa wapinzani wao, samba na hivyo kusababisha kukosekana kwa uelewano na kushindwa kufurukuta.

No comments