JOSE MOURINHO ASEMA: UNAANZAJE KUACHA KUMSAJILI ALEXIS SANCHEZ?Kocha wa Manchester United amesisitiza kuwa ni ngumu kuiacha nafasi ya kumsajili mchezaji kama Alexis Sanchez pale anapokuwa sokoni dirisha la Januari.

United imeingilia mbio za kuwania saini ya Sacnhez ambaye alikuwa anawaniwa na Manchester City.

Mourinho amesema huwezi kusema hapana kwa mchezaji huyo, kauli inayothibitisha kuwa United imedhamiria kuipiku City.
No comments