Habari

MANCHESTER CITY IPO TAYARI KUMWACHIA SANCHEZ AENDE MANCHESTER UNITED

on

Manchester City inajiandaa kuachana na mpango wa kumsajili Alexis Sanches, hatua itakayowapa mwanya wapinzani wao wakubwa Manchester United kumnyakuwa mshambuliaji huyo wa Arsenal.
City ilikuwa inaongoza mbio za kumsajili Sanchez kabla Manchester United haijatia mguu na ofa nono.
Daily Star la Uingereza linaandika kuwa matajiri wa Etihad hawako tayari kuifikia dau la Manchester United na wako radhi mchezaji huyo aende Old Trafford.
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola bado ana matumaini ya kumnasa Sanchez akiamini kuwa nyota huyo anataka kucheza chini yake na sio Mourinho.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *