Habari

MANCHESTER UNITED KUWEKA MEZANI PAUNI MIL 35 KUMNYAKUA MESUT OZIL KUTOKA ASRENAL

on

Jose Mourinho amekubaliana na bodi ya Manchester United juu ya harakati za kumsajili Mesut Ozil kutoka Arsenal mwezi huu.
Mourinho anaamini Arsene Wenger atakubali kumuuza nyota huyo wa Ujerumani katika dirisha hili la Januari kuliko kumwachia aondoke bure mwishoni mwa msimu huu.
Pauni milioni 35 zinatarajiwa kuwekwa mezani na Manchester United ili kupata saini ya Ozil ambaye pia anawaniwa na PSG na Bayern Munich.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *