MANCHESTER UNITED SASA ISHINDWE YENYEWE KUMSAJILI LUCAS MOURA WA PSG


Winga wa PSG Lucas Moura yuko tayari kuzitema ofa za klabu nne ili kujiunga na Manchester United, hiyo ni kwa mujibu wa gazeti la Telefoot la Ufaransa.
Inadaiwa vilabu vya Bordeaux, Nantes, Nice na Real Betis zinamtaka nyota huyo wa Kibrazil, lakini akili ya Moura iko Old Trafford.

No comments