Habari

MANCHESTER UNITED YAMKATIZIA DENGE ALEXIS SANCHEZ …Manchester City sasa njia panda

on

Manchester United imepeleka maombi ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez anayewaniwa na Manchester City.
City ilipeleka ofa inayotajwa kufikia pauni milioni 20 kwa nyota huyo wa Chile lakini United inajiandaa kuweka mezani kiasi kinachotarajiwa kukaribiana na pauni milioni 35 sambamba na kumpeleka Emirates kiungo wake Henrikh Mkhitaryan.
Inaaminika ofa ya United itafikia pauni milioni 25 na Jose Mourinho anaonekana kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwashinda wapinzani wao wa mji wa Manchester.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *