MISS IRINGA HUYOO MIKONONI MWA KOMANDOO HAMZA KALALA


MKONGWE wa miondoko ya dansi Bongo, Komandoo Hamza Kalala amepanga kumshirikisha mwimbaji anayechipukia kwa kasi hivi sasa, Sylvia Mwakilufi ambaye ni Miss Iringa mwaka 2000, katika kazi yake mpya anayotarajia kuipakua hivi karibuni.

No comments