MWINYI KAZIMOTO AFICHUA SIRI YA KUIBUKA NYOTA WA MCHEZO DHIDI YA JAMHURI

BAADA ya kuibukia nyota wa mchezo katika mechi ya jana ya michuano ya Mapinduzi kati ya timu yake ya Simba dhidi ya Jamhuri, kiungo Mwinyi Kazimoto amesema kuwa siri kubwa ya mafanikio yake ni kujituma pamoja na kufuata maelekezo ya mwalimu.

No comments