Habari

REAL MADRID KUWAFUNGIA KAZI EDEN HAZARD NA THIBAUT COURTOIS WA CHELSEA

on

Nyota wawili wa Chelsea Eden Hazard na Thibaut Courtois wametajwa kuwemo kwenye orodha ya wachezaji wanaotakiwa na Real Madrid dirisha la usajili majira ya kiangazi.
Mabingwa hao wa Ulaya wako kwenye mpango wa kukifumua kikosi chao dirisha la kiangazi ili kuweza kuendana na kasi ya Barcelona ambayo imeendelea kuboresha timu yao kwa kumsajili Philippe Coutinho.
Kwa mujibu wa mtaalam wa soka wa Kihispania wa Sky Sports, Guillem Balague, Madrid inajipanga kusajili majina makubwa mwishoni mwa msimu huu na Eden Hazard na Thibaut Courtois ni miongoni mwa walengwa.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *