STOKE CITY YAMTIMUA KOCHA WAKE MARK HUGHES BAADA VICHAPO VYA MFULULIZO


Stoke City inategemewa kutangaza kocha mpya baada ya kumtimua kazi kocha Mark Hughes kufuatia kichapo kutoka kwa Coventry kwenye mchezo wa FA.

Hughes amepokea taarifa ya kutimuliwa kwake kupitia kwa mtendaji mkuu Tony Scholes, hatua ambayo ilishabashiriwa tangu kipigo cha Jumatatu dhidi ya Newcastle Jumatatu.

Kocha huyo anaiacha Stoke City ikiwa inashika nafasi ya tatu kutoka chini kwenye msimamo wa Ligu Kuu ya England.

No comments