Habari

VIPIMO VYA AFYA VYA BARCELONA VYABAINI PHILIPPE COUTINHO NI MAJERUHI

on

Philippe Coutinho atakuwa nje ya dimba kwa wiki tatu baada ya vipimo vya Barcelona kubaini kuwa nyota huyo ana maumivu ya paja.
Coutinho alifanyiwa vipimo vya afya katika hatua mbili jana mchana na leo asubuhi na baada ya hapo ndipo ikabainika kuwa anastahili kuwa nje ya dimba kwa wiki tatu.
Nyota huyo wa Kibrazil aliyesajiliwa na Barcelona kwa pauni milioni 145 kutoka Liverpool, anatarajiwa kuanza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Espanyol Februari 4.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *