VIRGIL VAN DIJK AKABIDHIWA JEZI NAMBA 4 LIVERPOOL BAADA YA KUKAMILISHA USAJILI WA PAUNI MIL. 75


Sentahafu Virgil van Dijk amekabidhiwa jezi namba 4 Liverpool baada ya kukamilisha usajili wake wa pauni milioni 75 kutoka Southampton.

Beki huyo wa Kidachi mwenye umri wa miaka 26, anaweka rekodi mpya ya kuwa beki ghali duniani.No comments