WENGER SASA HAKUNA KULALA ASAKA MRITHI WA SANCHES ...Cristian Pavon chaguo lake la kwanza

Arsenal inajiandaa kumsajili staa wa Argentina Cristian Pavon kama mrithi wa Alexis Sanchez.
Ripoti kutoka Argentina zinadai kuwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger yupo tayari kulipa pauni milioni 27 kwa Boca Junior ambazo zitatosha kufikia kipengele cha manunuzi kilichowekwa kwenye mkataba wa Pavon.


No comments