MAROMBOSO ASEMA: "KIFO CHA YAMOTO BAND WE ACHA TU"

MSANII Maromboso kutoka WCB ameibuka na kusema kuwa tukio la kusambaratika kwa Yamoto Band limemsikititisha mno na binafsi alishajaribu kuwashawishi wenzake kulifufua upya lakini badhi yao wakaonyesha kwamba hawako tayari tena kwa hilo.

No comments