MSONDO NGOMA KAMA KAWA DA’ SAFARI PARK LEO

MSONDO Ngoma Music Band kama kawaida yao leo Jumamosi wanatarajiwa kufanya balaa ndani ya Da’ Safari Park, Yombo Buza, jijini Dar es Salaam kuanzia majira ya saa 2:00 usiku na kuendelea hadi muda mbaya.


Shoo ya leo inatazamiwa kujaa msisim ko wa hali ya juu hasa kutokana na wenyewe Msondo Ngoma kupania kumimina burudani ya uhakika kwa mashabiki wao wa maeneo ya Buza na vitongoji jirani.

No comments