YAH TMK MODERN TAARAB YAJIPANGA KWA UJIO MPYA WA KISHINDO

BENDI inayosumbua hivi sasa katika mipasho, Yah TMK Modern Taarab inajifua kikamilifu kwa ajili ya kufyatua vibao vipya vikali ambavyo vitaanza kusikika muda si mrefu, kwa mujibu wa meneja msaidizi wa bendi hiyo, Said Kessy ‘Mnyama’. 

No comments