Saluti5

Switch to desktop

WELCOME OBAMA YA DOKII YAKIMBIZA

UMMY WENSLAUS maarufu kama Dokii ametisha ile mbaya na wimbo wake “Welcome Obama” ambao ni maalum kwaajili ya kumkaribisha Rais wa Marekani aliyetua nchini jana mchana.

Wakati wasanii wengine wakiwa wamelala usingizi wa pono kuhusu ziara hiyo, siku 6 zilizopita Dokii ambaye ni mwigizaji na mjasiriamali, akaingia studio za Baucha Records na kurekodi kibao hicho kitamu ambacho kwa sasa kinakimbiza kwenye vituo vingi vya radio na televisheni.

 

Dokii ameiambia Saluti5 kuwa katika kuutengeneza wimbo huo uliouimbwa kwa mchanganyiko wa lugha za kiingereza na Kiswahili amemtumia producer chipukizi anayekwenda kwa jina la J Young.

Upande wa video Dokii anasema imetengenezwa na kampuni ya Timamu Effects.

Hii si mara ya kwanza kwa Dokii kumuimbia Obama, wakati Rais huyo anafanya kampeni zake za kugombea urais kwa kipindi cha pili, Dokii akaibuka na wimbo “No One Like Obama”.

Rate this item
(1 Vote)

HEADER

0Concetta2014-02-26 00:05#1
garcinia cambogia Howdy! I know this is kinda off subject
but I’d figured I’d ask. Would you be interested in exchanging links or possibly guest authoring a weblog
post or vice-versa? My site addresses a great deal of precisely the same subjects as
yours and I believe we could drastically advantage
from each other. When you are interested really feel free to
shoot me an e-mail. I look forward to hearing from you! Superb blog from
the way! garcinia cambogia

Also visit my web site: garcinia cambogia reviews: http://www.prlog.org/12266355-pure-garcinia-cambogia-reviews.html
Quote

Add comment

back to top

------- Powered by DuDumizi Solutions -------

Top Desktop version